Courses : (2)

Course title
Introduction To CSS
Published: 3 months ago
Level: Beginner
Baada ya kujifunza HTML, ni wazi kwamba unahitaji kujifunza namna ya kupendezesha website yako. CSS ni language inao tumika kutimiza lengo hili. Katika hii kozi utajifunza namna ya kuitumia CSS kupendezesha HTML website.
Duration: 00:00 hrs
Lessons: 0
Course title
Introduction To HTML
Published: 3 months ago
Level: Beginner
Kozi hii itakutamburisha juu ya HTML, kama hauja wahi kujifunza kuhusu HTML au website designing basi kozi hii ni mahari sahihi pa kuanzia.
Duration: 00:00 hrs
Lessons: 0