Katika hii sehemu tuta anza kwa kujifunza kuhusu namna ya uandishi wa Java programming language kwasababu ndio tutakayo itumia kuandika code wakati tunajifunza kutengenza mobile applications. Ili tuweza kufanya hivyo tuta anza kwa ku download tool moja ambayo tutaitumia kujifunza basics za Java. https://www.jetbrains.com/idea/download
Please log in to leave a comment.
Nice
mtu kalipa unamjibu kishkaji
Nimelipia kozi ya android lakin video mbona hazifunguki..? Msaada