Tumeona maajabu ya sessions katika PHP. Lakini najua una maswali mengi kichwani kwako. Inawezekanaje session zika tunza data accross different pages? Kuna nini kinafanyika? Usijari, katika hii video nitakuonyesha mechanism inayotumiwa na session.
Please log in to leave a comment.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!