Kwa mujibu wa General Data Protection Regulation (GDPR) na mashirika mengine mbalimbali kama HIPAA (USA), tunatakiwa kulinda taarifa za siri za mtumiaji wa mfumo. Faini kubwa hutolewa kwa makampuni yasiyo fuata taratibu hii pindi wadukuzi wanapo ingia na kuchukua data hizo. Katika hii video tutajifunza jinsi ya kulinda password za watumiaji wetu katika namna ambayo hata sisi wenyewe hatuwezi kujua mteja ameweka password gani.
Please log in to leave a comment.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!