Katika hii video tutaona namna ambavyo query inayoenda kwenye database ikibadilishwa inaweza kuleta madhara makubwa. Tutaona jinsi ambavyo mtu anaweza kufuta data zote zilizopo kwenye table kama mfumo wetu hauja jikinga na SQL Injection.
Please log in to leave a comment.
No comments yet. Be the first to share your thoughts!