• Installing PHP 8 months ago
  Katika sehemu hii, baada ya kua na basics za HTML na CSS, sasa unaweza kujifunza PHP. Hongera kwa kufanya uamuzi mzuri wa kujifunza Website Development kwasababu ni fani nzuri na inaweza kukuwezesha kujiajili mwenyewe na ukatimiza ndoto zako.
  Php

 • Installing Code Editor 8 months ago
  Kabla hatuja anza kuandika code, na tuhakikishe kwamba ume install Text Editor katika computer yako. Text Editor ni kama fashion, kila mtu huchagua yeyote aipendayo. Usijali, chagua yeyote tuendelee mbele.
  Php

 • Variables 8 months ago
  Sasa kwa sababu upo tayari kuendelea na "Coding" hebu tuanzie mwanzo kabisa, Nini maana ya "variable" na ni wapi unaweza kuitumia?
  Php