Malipo.

Chagua.

3,000/=

Siku 2

  • Pata uwezo wa kutazama kozi zote.

20,000/=

Mwezi

  • Jifunze mwezi mzima kwa punguzo la hadi 56%

150,000/=

Mwaka

  • Furahia punguzo la 73% ukilipa kwa mwaka

700,000/=

Milele

  • Elimu haina mwisho, karibu tujifunze pamoja.

Je, Unaswali lolote ?

1. Jinsi ya kujiunga?

Ni rahisi sana,Click kwenye kitufe kilichoandikwa "jiunge", jaza taarifa zako na kisha utapokea ujumbe wa ku hakiki taarifa zako kupitia email uliotumia kujiunga. Baada ya kuhakiki ku click kitufe cha kuhakiki utakua umefanikiwa kujiunga na Jiongeze Online tayari kwa ajiri ya kukuza uelewa wako katika Website Designing na Computer kwa ujumla

2. Jinsi ya kuchangia huduma?

Click kwenye kitufe kilichoandikwa "Malipo" kisha chagua kifurushi kinacho endana na mapendekezo yako, kisha fanya malipo, baada ya hapo utapokea ujumbe mfupi (sms) kupitia simu namba uliotumia kutuma mchango wako